Find the Best swahiliquotes Shayari, Status, Quotes from top creators only on Nojoto App. Also find trending photos & videos aboutlove sms in swahili, swahili love poems, english to swahili translation, swahili to english translate, dictionary swahili to english,
Adier Palmer
Chumba kilikuwa kimetulia Hata ungepepesa kope tungeskia Upepo wa baharini ulikuwa unavutia Na ulileta mandhari niliyoshabikia Marashi yake ya halua, mapuani yalinifikia Na nilipenda alivyojilazia, nani angechukia Basi ujumbe sikuchelea, mimi nikamtumia Mara tuu akanijibia, ati anataka nimtumie mia Hamsini hamsini sindio mia, sikutaka haramia Na akaongezea eti, alinipenda mia penzi kwa mia Alikuwa kajilaza kichali, huku macho kanikazia Nina imani robo nne, ye' alikuwa kanizimia Na moyo nikaulegeza, kwani bahati kanijia Lijaliwelo kuwa halina uzuio, tena nikajiambia Muda huu wote, hakujua tuu nilivyo mzimia... |Naumia| #penzi #shairi #swahiliquotes #love #loveforever
#penzi #shairi #swahiliquotes love #loveforever
read moreAdier Palmer
Hakuna kitu kitamu kama Mapenzi Tena ni matamu, wala si mabanzi Hayachagui machali wala mamanzi Ni ya wote werevu kwa madwanzi Na daima huleta amani si majonzi Utamu wa mapenzi unazidi wa ndizi Tena ni matamu zaidi ya mchuzi Yanashinda hata mchuzi wa nazi Yamewafanya masela wakachizi Hata tena wakavulia nzuri hirizi Kwa kuwa yanahitaji tuu uwazi Wala si purukushani za kiswazi Mapenzi hayataki watu wa tizi Tena hayana utaalam ati ujuzi Mapenzi yalianza kitambo si juzi Niliwahi pendwa nikaimba tenzi Tulipeana la kweli penzi zile enzi |Mapenzi| #swahiliquotes #penzi #love #shairi
#swahiliquotes #penzi love #shairi

read more
About Nojoto | Team Nojoto | Contact Us
Creator Monetization | Creator Academy | Get Famous & Awards | Leaderboard
Terms & Conditions | Privacy Policy | Purchase & Payment Policy Guidelines | DMCA Policy | Directory | Bug Bounty Program
© NJT Network Private Limited